Utafiti unaonyesha afya ya utumbo inaweza kuhusishwa na kila kitu kutoka viwango vya mafutamafuta mwilini hadi msongo wa mawazo. Na kadri ufahamu wetu kuhusu jukumu la kiungo hiki muhimu ...
“NDOTO yangu ya kuwa daktari imetokana na matakwa pamoja na dhamira ya kusaidia wagonjwa. Mimi na wazazi wangu tulipata shida sana katika mambo ya tiba hivyo nilitamani kuwa daktari kusaidia jamii. Ha ...