Kumeshuhudiwa kuibuka suala la umuhimu wa kula mboga katika miaka ya hivi karibuni hasa kutokana na wasi wasi kuhusu afya zetu, harakati za wateteaji wa haki za wanyama na mazingira. Walaji mboga ...
na mataifa. Sheria za kimataifa zinatambua haki ya kila mtu kupata chakula cha kutosha na haki ya kuwa huru kutokana na njaa. Haki hii ni ya msingi kwa utekelezaji wa haki zote za binadamu.
Shirika la kutetea haki za binaadamu la kimataifa Human Rights Watch limeishutumu serikali ya Tanzania kwa kutekeleza sera za afya zinazowanyima huduma za kutosha watu wanaovutiwa kimapenzi na ...
Mwaka 2020, wakati janga la virusi vya korona lilipoenea ulimwenguni kote, ripoti ziliibuka kote nchini Japani na kwingineko juu ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa wasiwasi. Hivi karibuni, mizozo ...
CDC itaanza kuwachunguza wasafiri wanaoingia Marekani ambao wamekuwa Rwanda katika siku 21 zilizopita, Idara ya Afya na Huduma za Kibinadamu ya Marekani imesema. Wiki iliyopita, kituo hiki kilitoa ...
Vikosi vya Israel vimefanya shambulizi lingine dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon. Vilitangaza juzi Jumatano kuwa vilifanya shambulizi “sahihi” katikati mwa mji wa Beirut.
Viongozi kadhaa katika chama tawala nchini Tanzania, wakiongozwa na waziri mkuu wamekana madai yanayo endelea kusambaa kuwa, Rais Magufuli anapokea matibabu ya coronavirus nje ya nchi. Madai hayo ...
Nigeria inataka mataifa ya Afrika kupewa kiti cha kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na pia kufutiwa madeni inayodaiwa na wakopeshaji wa kimataifa. Nigeria inataka mataifa ya ...