Chatu mwenye urefu wa futi ishirini ameuawa kwenye shamba la Rais wa Uganda Yoweri Museveni eneo la Kisozi lililo wilaya ya Gomba. Polisi walimuua kwa kumpiga risasi chatu huyo mara tatu ...