Wa Maasai wana historia ya kupoteza ardhi yao nchini Tanzania tangu wazungu walipowahamisha kutoka mbuga ya Serengeti mwaka 1959. Mapema mwezi huu, Bi Tenemeri, akiwa amejifunga shuka yake ...
Tarehe Moja Desemba, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kuanzishwa kwa kamati mbili ili kushughulikia mgogoro wa ardhi katika wilaya ya Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania ...