Maisha yake Ali amekuwa kila baada ya mwezi anaenda ICU. Ni takribani mwaka sasa hali yake imeanza kuwa na nafuu licha ya kuwa bado analala na mashine, "Bi Sharifa… alisimulia maisha ya mwanae.