SERIKALI imesema uboreshaji miundombinu na kuwapo vifaa tiba katika sekta ya afya umesaidia kuokoa maisha ya wanaotaka huduma za kibingwa kama upandikizaji figo na upasuaji wa moyo. Waziri wa Elimu, ...
UTAFITI umebaini kuwapo kwa uhusiano mkubwa kati ya uelewa darasani na afya ya akili kwa watoto walio katika umri wa madarasa ya awali. Kwa mujibu wa utafiti huo, asilimia 41 ya watoto wamebainika ...
Mwanaharakati wa haki za binadamu wa Palestina Issa Amro ametunukiwa Tuzo ya Haki ya Kuishi ambayo hujulikana sana kama Tuzo Mbadala ya Nobel. Amro, kundi lake pamoja na washindi wengine ...
Vikosi vya Israel vimefanya shambulizi lingine dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon. Vilitangaza juzi Jumatano kuwa vilifanya shambulizi “sahihi” katikati mwa mji wa Beirut.
Raia nchini Kenya na hasa wale wa kawaida wanaotegemea kupata ... baadhi wakishindwa kuhudumiwa chini ya mfumo mpya wa bima ya afya kwa wote, SHIF. Mfumo huu mpya ambao ulianza kutumiwa rasmi ...
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 11 la Afya Oktoba Mosi katika Mji wa Fumba, Zanzibar. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema kuwa kongamano ...
Nigeria inataka mataifa ya Afrika kupewa kiti cha kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na pia kufutiwa madeni inayodaiwa na wakopeshaji wa kimataifa. Nigeria inataka mataifa ya ...
Kihutubia mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Zelenskyy, amesema Urusi haitaweza kushinda upinzani wa watu wa Ukraine kwenye uwanja wa vita na hivyo inatafuta njia zingine za kuvunja moyo ...
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Zaidi ya nchi 30 zimethibitisha kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International ...
Ukosefu wa Ufahamu wa haki za afya ya uzazi ni kikwazo kikubwa ukanda wa Afrika Raia wengi bado hawawezi kufurahia haki zao za afya ya uzazi kutokana na ukosefu wa ufahamu 17/09/2024 ...
"Kuhamasisha na kulinda afya na haki za vijana ni muhimu kwa kujenga mustakabali bora kwa dunia yetu," amesema Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus huku akionya kuwa kushindwa ...
Serikali imewahakikishia wakulima na wamiliki wa viwanda vya kukoboa Kahawa nchini kuwa itatengeneza utararibu wa kuuza kahawa ili kuwa na mfumo wa uwazi wenye bei itakayomnufaisha mkulima kwa ...