Wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar na Tanzania Bara, wamesema chama hicho kinahitaji mabadiliko ya kweli ili kuuaminisha umma katika kupigania haki zao za msingi.
Makipa wa Azam FC, ambao mpaka sasa bado hawajakaa langoni ni Ali Ahmada na Hamisi Athumani. Makipa wengine ambao wamesugua benchi bila kucheza walau dakika moja ni Ibrahim Parapada wa Singida Black ...