Moja ya tukio muhimu katika kongamano hilo ni Mkutano wa Oktoba 03 katika Ukumbi wa Spice, ZITF, kisiwani Unguja, Zanzibar ambapo watekelezaji wa mradi wa Afya-Tek, Apotheker, D-tree na wengine ...
Patia kipaumbele afya ya akili pahala pa kazi, ndio msingi maudhui ya siku ya Afya ya Akili duniani inayoadhimishwa leo Oktoba 10, wakati huu ambapo inaelezwa mtu 1 kati ya 8 duniani ana tatizo la ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko. NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na ...
IMESHAURIWA na wanataaluma wa afya ya akili kwamba, mahali pa kazi kuwapo ‘mentors’ (washauri), ili kuponya ‘majeraha’ ya kiakili kazini yanayowakumba wafanyakazi kama vile sonona na msongo wa mawazo.
Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu,ICRC mara nyingi hubidi kuhudumu katika maeneo yenye mizozo kutoa huduma za dharura ,msaada wa kibinadaam ikiwemo afya Ili kukabiliana na changamoto za ...
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi ametoa mwezi mmoja Kituo cha Afya Segese kianze kufanya kazi mara moja baada ya kukamilika na kuwa na baadhi ya vifaa tangu mwaka ...
Kwa upande wake, ofisi ya rais "inalaani vikali" uvumi huo, na inabainisha "hali bora ya afya ya mkuu wa nchi ambaye anafanya kazi na kuendelea na shughuli zake huko Geneva. " Waziri wa Kazi ...
© 2024 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. © 2024 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka ...