JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu ajali ya gari lililowaka moto na kusababisha vifo vya watu sita, wakiwamo dereva Vicent Milinga na mkewe Judith Nyoni, mwalimu wa Shule ya Msingi ...