Vikosi vya Ukraine vimejiondoa kutoka maeneo muhimu ya Donetsk mwaka huu. Wanajeshi wa Urusi huenda wakaongeza mashambulizi yao na kujaribu kuteka eneo lote.
Uingereza inasema itaikabidhi Mauritius udhibiti wa mtungo wa visiwa vya Chagos chini ya makubaliano ya pande mbili yanayohakikisha usalama wa siku zijazo wa kambi muhimu ya kimkamkati ya jeshi ...