UTAFITI umebaini kuwapo kwa uhusiano mkubwa kati ya uelewa darasani na afya ya akili kwa watoto walio katika umri wa madarasa ya awali. Kwa mujibu wa utafiti huo, asilimia 41 ya watoto wamebainika ...
Mwanaharakati wa haki za binadamu wa Palestina Issa Amro ametunukiwa Tuzo ya Haki ya Kuishi ambayo hujulikana sana kama Tuzo Mbadala ya Nobel. Amro, kundi lake pamoja na washindi wengine ...
Vikosi vya Israel vimefanya shambulizi lingine dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon. Vilitangaza juzi Jumatano kuwa vilifanya shambulizi “sahihi” katikati mwa mji wa Beirut.
Raia nchini Kenya na hasa wale wa kawaida wanaotegemea kupata ... baadhi wakishindwa kuhudumiwa chini ya mfumo mpya wa bima ya afya kwa wote, SHIF. Mfumo huu mpya ambao ulianza kutumiwa rasmi ...
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 11 la Afya Oktoba Mosi katika Mji wa Fumba, Zanzibar. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema kuwa kongamano ...
Nigeria inataka mataifa ya Afrika kupewa kiti cha kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na pia kufutiwa madeni inayodaiwa na wakopeshaji wa kimataifa. Nigeria inataka mataifa ya ...
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Zaidi ya nchi 30 zimethibitisha kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International ...
Ukosefu wa Ufahamu wa haki za afya ya uzazi ni kikwazo kikubwa ukanda wa Afrika Raia wengi bado hawawezi kufurahia haki zao za afya ya uzazi kutokana na ukosefu wa ufahamu 17/09/2024 ...
"Kuhamasisha na kulinda afya na haki za vijana ni muhimu kwa kujenga mustakabali bora kwa dunia yetu," amesema Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus huku akionya kuwa kushindwa ...
Na wito huo wa Paula Narváez hauna ugumu wowote katika utekelezaji wake kwa kuwa tayari WaterAid Tanzania imeshadhihirisha hayo miaka 40 iliyopita namna gani imejidhatiti katika eneo hilo. Mhudumu wa ...
Uswisi ikionesha kuwa mzigo wa madeni unaokabili nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara unasababisha zibakie na fedha kidogo kugharimia huduma za afya, pamoja na huduma muhimu zaidi dhidi ...
Mgeni rasmi katika tukio hilo, Mheshimiwa Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, alisema, "Bima ya afya ni haki ya msingi ambayo inapaswa ...