Tumeangazia baadhi ya picha na video hizi za kupotosha. Picha zinazoonyesha viatu vilivyoongezwa kwato kwenye soli ili mtu anapotembea viache nyayo za mnyama ardhini zimesambazwa pia sana mtandaoni.
Mamlaka ya afya nchini Tanzania, imepata hofu ya ongezeko la watu wenye uzito mkubwa. Naibu waziri wa afya , maendeleo ya jamii , jinsia, wazee na watoto, Faustine Ndugulile amesema kuwa sasa ni ...