TANZANIA ni moja ya nchi yenye vitu vingi vinavyoshangaza na wakati mwingine huchochea mijadala ambayo inazidi kuitangaza kiutalii na kuvutia watafiti na watalii. Mfano wa maajabu ni kuhama kwa nyumbu ...
Tarehe Moja Desemba, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kuanzishwa kwa kamati mbili ili kushughulikia mgogoro wa ardhi katika wilaya ya Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania ...