Steven Mukwala na Ladack Chasambi wamekuwa mwiba kwa Kagera Sugar leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-2 kwenye mechi baina yao iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba. Mukwala ...